Ringtone - Wacha Iwe - Basi Wacha Sasa Iwe

Chorus / Description :
Basi wacha sasa iwe,
vile Mungu anataka iwe,
Mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe, Ila bado,mbingu usikia,
tena bado mbingu itajibu,

Wacha Iwe - Basi Wacha Sasa Iwe Lyrics

Ringtone:
Kisha shida
kwako muwezi pika
Chunga shida
kwako muwezi lala
Hayo yote ushuhuda,
Mungu anakutengenezea,
mwisho ushinde,
Mambo unapitia,yanakufanya uzimie,
yanakufanya we ulie,unajiuliza ako wapi?
huyu Mungu ,wamuita kila siku
huyu Mungu,mi najua anasikia.
huyu Mungu anakupenda wewe sana,

Ila bado,mbingu usikia,
tena bado mbingu itajibu,
Ila bado mbingu uelewa,
tena bado mbingu itajibu,

Basi wacha sasa iwe,
vile Mungu anataka iwe,
Mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe,

Gloria
kuna wakati,mbingu unyamaza kimya,
kuna wakati,Mungu unyamaza kimya,
unaita ni kama husikiki,
unabisha,wala hufunguliwi,
unauliza maswali wala hujibiwi,
ila bado,mbingu husikia,
tena bado mbingu itajibu,
ila bado mbingu huelewa,
tena bado mbingu itajibu,

Basi wacha sasa iwe,
vile Mungu anataka iwe,
Mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe

Basi wacha sasa iwe,
vile Mungu anataka iwe,
Mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe

Ringtone:
Ukimemuita Mungu we hajafika,
Umemlilia Mungu we,akuhurumie,
umepigwa hadi ukaenda chini,
hauwezi inuka,unaonewa sana na kukanyagiwa,
umefika mwisho we eeh

Gloria:
Sasa surrender,
Mungu yuko nawe,tena karibu sana dada we,
acha vita upiganiwe,acha mizigo ubebewe,
siku yako itafika,basi wacha iwe,

Basi wacha sasa iwe,
vile Mungu anataka iwe,
mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe,

basi wacha sasa iwe,
vile Mungu anataka iwe,
mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe,

Wacha Iwe - Basi Wacha Sasa Iwe Video

  • Song: Wacha Iwe - Basi Wacha Sasa Iwe
  • Artist(s): Ringtone


Share: