Usilale Lyrics

mpanzi alikwenda shambani kapanda mbegu njema
alipolaala adui akaingia, shambani akapanda magugu
vivyo hivyo mkristo ukilala,shetani huja kapanda roho chafu.
utukufu wa mungu ndani yako pilepole uanze kupungua

usilale shetani anatafuta nafasi, adui anatafuta nafasi
ya kupanda magugu moyoni mwako

Mkristo omba bila kukoma shetani asipande
maovu ndani yako, Mwimbaji uwe macho
omba hata kufunga.
shetani asipande, kiburi moyoni mwako

usilale shetani anatafuta nafasi, adui anatafuta nafasi
ya kupanda magugu moyoni mwako

usilale shetani anatafuta nafasi, adui anatafuta nafasi
ya kupanda magugu moyoni mwako

Mhubiri angalia shetani asiingize, kujitukuza na tamaa ya kupenda pesa.
mchungaji funga sana, shetani asikuweze, ukawa sababu ya kondoo, kutawanyika

usilale shetani anatafuta nafasi, adui anatafuta nafasi
ya kupanda magugu moyoni mwako

Mama ...
kijana..

Mathew 18:25 But while everyone was sleeping, his enemy came and sowed weeds among the wheat, and went away.

Usilale VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Usilale:

0 Comments/Reviews