Mercy Linah - Wa Ajabu wewe wa ajabu

Chorus / Description : Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu translation God of wonders, King of kings, the enthroned we worship you

Wa Ajabu wewe wa ajabu Lyrics

Ewe mungu wa miungu, umetukuka,
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu,
Tunaa kuinamiya x2

Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu

Utukufu na heshima,
kwako eeh we mungu,
Pia nguvu na shukrani,
kwako ewe mungu

Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu

Mtakatifu mwaminifu,
Tunakuinamia, El-shaddai?.
Adonai?, Alfa na Omega x2

Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu
Mfalme wa wafalme, Mwenye enzi tunakuabudu

Translation
God of wonders, King of kings, the enthroned we worship you


Wa Ajabu wewe wa ajabu Video

  • Song: Wa Ajabu wewe wa ajabu
  • Artist(s): Mercy Linah


Share: