Patrick Kubuya - Sikia Maombi

Chorus / Description : Yesu sikia maombi yangu
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi
Ninaomba nione mkono wako
Roho wako akae pamoja nami

Sikia Maombi Lyrics

Yote ninayoitaji ndani yako nitayapata 
Chini ya wema wako hunijibu kwa maombi 
Nafsi yangu yakuhitaji Bwana 
Kwa maombi ninakutafuta 
Usiende mbali na mimi Bwana 
Jifunue kwangu nakusihi 

Yote ninayoitaji ndani yako ninatayapata 
Chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi 
Nafsi yangu yakuhitaji Bwana 
Kwa maombi ninakutafuta 
Usiende mbali na mimi Bwana 
Jifunue kwangu nakusihi 

Ninaomba nione mkono wako 
Roho wako mtakatifu akae pamoja 

Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu 
Kwa neema yako badili historia yangu 

Yesu sikia maombi yangu 
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi 

Ninaomba nione mkono wako 
Roho wako akae pamoja nami 
Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu 
Kwa neema yako badili historia yangu

Yesu sikia maombi yangu 
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi 

Ninaomba nione mkono wako 
Roho wako akae pamoja nami 
Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu 
Kwa neema yako badili historia yangu

Sikia Maombi Video

  • Song: Sikia Maombi
  • Artist(s): Patrick Kubuya
  • Album: Sikia Maombi - EP
  • Release Date: 03 Mar 2021
Sikia Maombi Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: