Kutembea Nawe

By Rebekah Dawn

Lyrics

Nikipoteza njia
Kwa safari nimechagua
Nisipokuwa na nguvu
Niite niite 

Niongoze kwa neema
Nifunze kwa upole wako
Hata nikikukosea 
Nisaidie Nisaidie

Natamani kutembea nawe 
Natamani kutembea nawe 
Natamani kutembea nawe 
Niongoze Niongoze 

Sielewi njia hii 
Ndo maana nakuhitaji 
Nakutegemea wewe 
Enda nami, enda nami 

Nashindwa kukupa yote 
Hata hivyo nitaamini 
Kwani najua mwisho eeh 
Kuna raha, kuna raha 

Natamani kutembea nawe 
Natamani kutembea nawe 
Natamani kutembea nawe 
Niongoze Niongoze 

Natamani kutembea nawe 
Natamani kutembea nawe 
Natamani kutembea nawe 
Niongoze Niongoze 

Kutembea Nawe - Rebekah Dawn (OFFICIAL MUSIC VIDEO) For SKIZA SMS "Skiza 7478699" to 811