Reuben Kigame - Wastahili Bwana

Chorus / Description : Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulikufa msalabani,
niokolewe,
wastahili Bwana

Wastahili Bwana Lyrics

Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulikufa msalabani,
niokolewe,
wastahili Bwana

Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulibeba mizigo yangu,
sasa ni huru,
Wastahili Bwana


Uliacha utukufu wako.
Ukaishi kati yetu kwa mapendo.
Ulipatwa na simamzi ulinifia
Wastahili Bwana


Uliwekwa kaburini Bwana.
Ukafufuka wewe Bwana wangu.
Ulipaa juu mbinguni na watawala
Nakusifu Yesu

Theme: You are worthy oh Lord

Wastahili Bwana Video

  • Song: Wastahili Bwana
  • Artist(s): Reuben Kigame


Share: