Mataifa yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa
Chorus:
Usiyeshindwa, usiyeshindwa
Wewe ni Mungu usiyeshindwa
Makabila yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa
Na kanisa lako, linakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa
All nations know you as the God who never fails.
Write a review/comment/correct the lyrics of Usiyeshindwa - Mataifa Yote Yanakufahamu: