Sifa Music - Mwokozi Umeokoa - Utukufu Halleluya

Chorus / Description : Tenzi nambari 1 (Tukutendereza Yesu in Luganda)
Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu

Mwokozi Umeokoa - Utukufu Halleluya Lyrics

Nimekuwa wako wewe
Damu imenisafisha;
Sifa kwa mwana kondoo

Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu 

Nilijitahidi sana
Ila sikupata raha;
Bali kwa kumtugemea
Nilipata Baraka

Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu 

Diama Namwegemea,
Damu ikifanya kazi,
Nikioga kwa chemchemi
Itokayo Mwokozi

Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu 

Sasa nimewekwa wakfu;
Nitaishi kwako wewe;
Fahari nashuhudia
Ya wokovu wa bure

Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu 

Nasimama kwake Yesu,
Ameponya roho yangu;
Ameniondoa dhambi,
Anifanye mzima

Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu 

Nalikuwa kifungoni,
Niliteswa na dhambi,
Nilifungwa minyororo,
Yesu akanifungua

Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu 

Sifa ameninunua
Sifa nguvu za wokovu
Sifa Bwana huhifadhi
Sifa zake milele

Utukufu halleluya
Sifa kwa mwana Kondoo
Damu imenisafisha,
Utukufu kwa yesu!

Mwokozi Umeokoa - Utukufu Halleluya Video

  • Song: Mwokozi Umeokoa - Utukufu Halleluya
  • Artist(s): Sifa Music


Share: