Najua Upo

by Danny Gift

Nilikuwa nikijiuliza tena kwa sana 

Mbona umeniandama ata iwe jinsi nilivyo mimi nikutumikiee 

Ona aah mbona umeniangalia sana 

Na sio eti kwamba mimi na spesheli ama iwe nimetenda wema

Lakini umeniona tena umenichagua 

Sasa mimi na wewe hadi mwisho wa dahari 

Mziki talanta uliyonipa mimi nitakusifu,,, 

Nakupenda unanipenda mimi ndio maana ninaimba


Najua upo aa-aah 

Najua kwamba Baba upo 

umenitengeneza ndo maana mi naimba *2


Najua kuna wengi wenye mali na majina makubwa lakini umeniona mimi 

kiburi na woga vyote ni vijisababu mimi nimeshavipiga teke, 

Niko mbele zako baba nitumie jinsi upendavyo 

Maanake hii urembo na mali nyingi ni chakula cha mchwa

Lakini umeniona, tena umenichagua 

sasa mimi na wewe hadi mwisho wa dahari 

mziki talanta uliyo nipa mimi nitakusifu OOh

Nakupenda unanipenda mimi ndo maana mi ninaimbaa


Najua up aa-aah najua kwamba baba upo 

Umenitengeneza ndo maana mi naimba *2

najua upo ooh wewe upo ooh

najua upo ooh najua upo 

najua upo ooh najua upo 

najua upo ooh najua upo

najua upo na unanipenda mimi eeh


Najua up aa-aah najua kwamba baba upo 

umenitengeneza ndo maana mo mi naimba

Share