Nitakase - Uninyunyizie Maji Unioshe nitakase

by Danny Gift

Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa

Natamani kwangu nione ukinitendea ah ah
Mvua nione ukininyeshea, moyo upone eeh
Natamani kwangu nione ukitembea,
Ukinitetea ah aah,moyo upone eh aih
aaa aah ah, aaa aah ah, naomba aah
Naomba dhambi zangu uoshe niwe safi
Naomba mvua inyeshe, mazao yaongezeke

Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa

Wash me Lord and mould and save ah ...

Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa
Uninyunyizie maji, oh ah, Uninyunyizie maji
Unioshe nitakase, Niwe mweupe kabisa

Remix adapted from the Original song by
Our Lady Of Fatima Kongowea Catholic Choir Uninyunyizie

Share