Angela Chibalonza - Kaa Nami ni Usiku Tena

Chorus / Description : Kaa nami ni usiku sana
Usiniache gizani Bwana
Msaada wako haukomi
Nili pekee yangu, kaa nami

Kaa Nami ni Usiku Tena Lyrics

Kaa nami ni usiku tena
Usiniache gizani Bwana
Msaada wako haukomi
Nili pekee yangu, kaa nami

Siku zetu hazikawii kwisha
Sioni la kunifurahisha
Hakuna ambacho hakikomi
Usiye na mwisho, kaa nami

Nina haja nawe kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
Ila wewe bwana, kaa nami

Sichi neno uwapo karibu
Nipatalo lote si taabu?
Kifo na kaburi haviumi
nitashinda kwako, kaa nami

Swahili HYMN for Abide with Me
Perfomed BY Angela Chibalonza

Nilalapo nikuone wewe (Hold Thou Thy cross before my closing eyes;)
Gizani mwote nimulikie (Shine through the gloom and point me to the skies.)
NUru za mbinguni hazikomi (Heaven’s morning breaks, and earth’s vain shadows flee;)
Siku zangu zote kaa nami (In life, in death, O Lord, abide with me.)

Kaa Nami ni Usiku Tena Video

  • Song: Kaa Nami ni Usiku Tena
  • Artist(s): Angela Chibalonza


Share: