Chorus / Description :
Nitainua macho yangu, nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu uu katika Bwana
(Taarab Style)
Nitainua macho yangu, nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu uu katika Bwana
Bwana ameumba mbingu na nchi
Asiuache mguu wako usongozwe
Hasinzii yeye akulindaye
Haoni usingizii
Bwana ndiye mlinzi wako daima
Yeye uvuli wa mkono wako wa kuume
Jua halitakupiga mchana
Wala mwezi usikuu
Nitainua macho yangu, nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu uu katika Bwana
Bwana atakulinda na mabaya yote
Yeye atailinda nafsi yako
Utokapo na uingiapo wewe
Bwana atakulindaa
Nitainua macho yangu, nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu uu katika Bwana
Msaada wangu uu katika Bwana
Msaada wangu uu katika Bwana
(Taarab Style)
Msaada wangu uu katika Bwana