Ali Mukhwana - Mwenye Enzi

Chorus / Description : Tunakuabudu Mungu mwenye enzi
(We worship You God of the throne)

Mwenye Enzi Lyrics

Tunakuabudu Mungu mwenye enzi 
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi 

Tunainama mbele zako 
Tukisema Mungu wastahili 
Wewe ndiwe kiongozi mwema 
Mfariji mwema twakuabudu 
Nikisema mimi ni msafi 
Itakuwa mimi najidanganya 
Wewe ndiwe kiongozi mwema 
Mfariji mwema twakuabudu 

Tunakuabudu Mungu mwenye enzi 
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi 

Wewe ndiwe kiongozi wangi 
Tena mchungaji wangu wa karibu
Wewe ndiwe kiongozi wangi 
Tena mchungaji wangu wa karibu

Mimi ni nani Bwana nisikusifu 
Mimi ni nani Bwana nikuabudu 
Uliniumba Mungu kwa mfano wako 
Tunasema Mungu uhimidiwe

Tunakuabudu Mungu mwenye enzi 
Tunakuabudu Mungu mwenye enzi 

Halle Halleluyah wastahili
Halle Halleluyah wastahili

Ali Mukhwana - Mwenye Enzi (Dial *811*229# To Get this SONG)

  • Song: Mwenye Enzi
  • Artist(s): Ali Mukhwana


Share: