Chorus / Description :
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Kama sio nguvu zako Baba
Nalia mimi ningekuwa wapi nakupenda aah?
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Ukanitoa mavumbini Baba
Ukaniita kwa jina lako
Mwokozi wangu woo-ooh
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Angalia dunia mbingu yote uliumba
Kwa jina lako Baba nakupenda aah
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Ni wa neema, ni wa, ni wa neema kubwa eeh
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Usiku na mchana tulipata chakula cha kila siku
Eeeh ndio maana tunasema sisi
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Baba nani kama wewe unashugulikia wajane na mayatima
Wanyonge na wadhaifu
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Yesu huyu haangali kabila lako eeh
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Nani mwanaume kama Yesu
Nani mwenye nguvu kama zako
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
"Yeye ni simba wa yuda
Yeye ni kimbilio letu
Hakuna Mungu kama yeye"
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Wacha kulilia majirani wako mama eeh
Mlilie huyu Yesu mwenye uweza ooh
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Akikubariki mama nani wa kupinga
Mwongoza njia eeh mama yee
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa .
Ni wa neema, ni wa
ni wa neema, ni wa neema kubwa
Ni wa neema Mungu Baba
Ni wa neema kubwa