Ali Mukhwana - Usinipite Mwokozi Unisikie Bwana

Chorus / Description : Yesu unisikie
unapozuru wengine usinipite
Yesu unisikie
Unapozuru wengine usinipite

Usinipite Mwokozi Unisikie Bwana LyricsUsinipite mwokozi, unisikie;
unapozuru wengine usinipite .

Usinipite mwokozi unisikie Bwana 
unapozuru wengine Bwana usinipite 
Usinipite mwokozi unisikie Bwana 
unapozuru wengine Bwana usinipite  .

(Naomba) Yesu unisikie 
unapozuru wengine usinipite 
(Nakuomba Yesu wangu) 
Yesu unisikie 
Unapozuru wengine usinipite  .

"Mtetezi wa mbingu ni wewe 
Njia ya uzima ni wewe Bwana 
Hakuna mwingine kama wewe Jehova Shammah 
Ombi letu ni kwamba unapozuru wengine 
Unapotembelea wengine usinipite Bwana 
Usiniache mwokozi wangu. 
Wewe ni njia ya uzima Bwana tunakupenda ooh"  .

Baba yangu ooh ninakupenda sana 
Nani mwingine kama wewe ninakupenda aah 
Usinipite Bwana, wewe ndiwe njia ya uzima 
Nani mwingine kama wewe ila wewe Baba 
Siwezi kamwe usinipite Bwana  .

Yesu unisikie 
unapozuru wengine usinipite 
(Baba nakupenda Baba) 
Yesu unisikie 
Unapozuru wengine usinipite  .

"Hakuna jambo gumu kwako Baba, 
Hakuna jambo linalokushinda mwokozi, 
Wewe ni Mungu wa Baraka, 
wewe ni Mungu wa upendo Bwana 
Nani mwenye upendo kama wako mwokozi 
Nani mwenye nguvu kama zako Bwana" .

Kiti chako cha rehema Bwana 
Nakitazamia miye 
Magoti napiga mbele zako Baba aah 
Usinipite Bwana  .

Yesu unisikie 
unapozuru wengine usinipite 
Yesu unisikie 
Unapozuru wengine usinipite  .


Usinipite Mwokozi Unisikie Bwana Video

  • Song: Usinipite Mwokozi Unisikie Bwana
  • Artist(s): Ali Mukhwana
  • Album: Utukufu
  • Release Date: 22 Aug 2022
Usinipite Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: