I Surrender

By Angel Benard

Lyrics

Sikupi mipaka tena mmh 

Chukua nafasi Bwana uuh 

Miliki kila chuma ndani yangu 

Sikupi mipaka tena mmh 

Panga na pangua yameota sura yako 

Acha nifurike wewe tu 

Panga na pangua yape yote sura yako 

Siwezi bila wewe 


I surrender, i surrender 

Sikupi mipaka tena 

I surrender mmmh uuuuh mmmh 


Umenijua toka kale 

Kabla ya kuwa kwangu 

Nitawezaje bila wewe uuh 

Hatua zangu bila wewe

Ni bure na nitaishia uhalifuni 

Ninakuhitaji eeeh 


I surrender, i surrender 

(i give it all to you)

Sikupi mipaka tena 

I surrender, i surrender 

Sikupi mipaka tena  

I surrender, i surrender 

sikupi mipaka  

I surrender