Christ Ambassadors - Nimekupata Yesu -natamani nitembee

Chorus / Description : Nimekupata yesu, nimepata yote,
Nimekupata bwana, sitahitaji tena aah,
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati, upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu pekee ulio bora

Nimekupata Yesu -natamani nitembee Lyrics

Nimekupata yesu, nimepata yote,
Nimekupata bwana, sitahitaji tena aah,
Wewe ndiwe hitaji langu,
Ngome yangu na mwamba
tengemeo langu katika hali
jaza moyo wangu, upendo nikupende,
U rafiki wa kweli, nifundishe kupenda aah,bwana,
maana upendo wako, ndio pekee waweza,
Kunifanya kiumbe kipya nikakufuate

Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati, upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu pekee ulio bora

Wapenzi wa kulia, wengi ni wadanganyifu,
niwapo katika hali zuri tuko wote eeh,
lakini katika matatizo, wote wanikimbia,
wewe nimekupata nitakushikilia

Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati, upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu pekee ulio bora

Nakukaribisha bwana, uyatawale maisha, yetu ya kila siku,
Tufundishe kupanda aah, mbegu Za upendo wa dhati,
mwisho wa nyakati,tuweze kuvuna matunda ya ukamili
kamilisha upendo, mungu aliohadaa
Dumisha ndoa zao furaha itawale,
Bwana, pembeni za unyonge na udhaifu wao
familia iwe mwanga wa mbingu ku

Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
upendo ule wa dhati, upendo husiobagua,
upendo uletao hekima, busara na amani,
upendo wakimbingu pekee ulio bora

Nimekupata Yesu -natamani nitembee Video

  • Song: Nimekupata Yesu -natamani nitembee
  • Artist(s): Christ Ambassadors
  • Album: Manifest
  • Release Date: 07 May 2021
100X Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: