Nahitaji Neema Yako Tu / Sijawahi Weza Bila Wewe Lyrics + Video

by Dr Ipyana | in Swahili
Swahili Songs Playlist Music Videos

Nahitaji Neema Yako Tu / Sijawahi Weza Bila Wewe Lyrics

Mp3 Song

Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 
Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 

Sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitawahi weza bila wewe Yesu

Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 
Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 

Sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitawahi weza bila wewe Yesu


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Nahitaji Neema Yako Tu / Sijawahi Weza Bila Wewe:

0 Comments/Reviews