Joel Lwaga - Mimi ni Wa Juu

Chorus / Description : Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana

Nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu
Juu sana

Mimi ni Wa Juu Lyrics

kuna wakati wa giza 
Mbele sioni najiuliza 
Mbona kama hizi shida 
Zimekawia kuisha 
Katikati ya maswali 
Nasikia sauti ndani, imebeba ujasiri 
Ikinitaka nikiri nikisema 

Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 

Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu 
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu 
Haijalishi ni giza, Yeye ni nuru yangu 
Nitashinda hii vita na yote yatakwisha 
Ntasimama tena, ntainuka tena 
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu 
Ntasimama tena, ntainuka tena 
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu 

Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 

Nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu 
Juu sana 
Nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu 
Juu sana 

Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 

Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu 
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu 
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu 
Mimi ni wa juu, juu sana 

Mimi ni Wa Juu Video

  • Song: Mimi ni Wa Juu
  • Artist(s): Joel Lwaga
  • Album: Mimi Ni Wa Juu - Single
  • Release Date: 02 Apr 2019
Mimi Ni Wa Juu Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: