Chorus / Description :
ft. Chris Shalom
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
Joel Lwaga:
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
Umerudisha tabasamu langu usoni
Umerejesha na furaha yangu moyoni
Umenijibu kwa wakati nisiyodhani
Baba umejua kunifurahisha
Niliyeitwa sina maana
Nimefanyika baraka
Niliyeonekana sifai, umeniheshimisha
Umenipa sababu ya kujijali
Yakukutukuza aah
Baba umejua kunifurahisha
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
Chris Shalom:
Father to the fatherless
Look at what you've done for me
You wipe my tears from my eyes
Look at what you've done for me
The chains and shackles that held me down
You've got it out of me
Oh what a life, beautiful life given me
Baba umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele x2
Ooh umejua kunifurahisha (Babaa)
Umejua kunifurahisha (Babaa)
You've taken away the pain (Babaa oh)
Umeondoa huzuni yangu (Babaa oh)
...