Joel Lwaga - Sitabaki Nilivyo

Chorus / Description : Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo

Sitabaki Nilivyo Lyrics

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai .

Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo .

Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite .

Mtetezi wangu
Yu hai (Yu hai)
Sitabaki kama nilivyo

JOEL LWAGA - Sitabaki Nilivyo (Official Video)

  • Song: Sitabaki Nilivyo
  • Artist(s): Joel Lwaga


Share: