Ali Mukhwana - Aliye Ndani Yangu

Chorus / Description : Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu
Uliye ndani yangu
U mkuu kuliko wa duniani
Uliye ndani yangu
U mkuu kuliko wa duniani

Aliye Ndani Yangu Lyrics

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Uliye ndani yangu 
U mkuu kuliko wa duniani 
Uliye ndani yangu 
U mkuu kuliko wa duniani 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Umewafedhehesha wanaotafuta nafsi yangu 
Umewaangamiza wenye kiburi 
Umewaponda ponda wenye miaka Bwana 
Nikiwa nawewe Bwana mashaka mimi sina 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Sheria yako imo moyoni mwangu 
Kufanya mapenzi yako 
Lolote utakalo Bwana mimi nitafanya 
Lolote upendalo Bwana mimi nitatenda 
Kwa maana mimi udongo na wewe ni mfinyinzi  

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Covenant keeping God 
I believe in You 
Covenant keeping God 
I believe in You 
Covenant keeping God 
I believe in You 

Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu 

Aliye Ndani Yangu Video

  • Song: Aliye Ndani Yangu
  • Artist(s): Ali Mukhwana


Share: