Chorus / Description :
Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye
Pasipo na njia unaitengeneza Njia
Aiye simuachi YesuÂ
Aiye simuachi YesuÂ
Hata iweje simuachi YesuÂ
Hata iweje simuachi YesuÂ
Aiye simuachi YesuÂ
Aiye simuachi YesuÂ
Hata iweje simuachi YesuÂ
Hata iweje simuachi YesuÂ
Kitu gani kinitenge na upendo wa Mungu (Hakuna)Â
Kitu gani kinitenge na upendo wa Baba (Hakuna)
Kitu gani kinitenge na upendo wa Yesu (Hakuna)
Iwe ni mali (Hakuna)Â
Je wazazi (Hakuna)
Pesa kidogo (hakuna) mali kidogo (hakuna)Â
Niwe ni chini (hakuna) Je masomo (hakuna)Â
Nan'gang'anaÂ
ChorusÂ
Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye ×2Â
Pasipo na njia unaitengeneza Njia ×2Â
Bwana sikia Maombi Yangu Utege sikio lako Uniponye ×2Â
Pasipo na njia unaitengeneza Njia ×2Â
Verse 1
Yanaonekana magumuÂ
Dunia imeshindwaÂ
madakitari wamejaribu pia wao wameshindwaÂ
lakini Bwana anasema mimi ndimi mti wa uzimaÂ
njooni kwangu mpate Amani Oooh Bwana wanguÂ
ChorusÂ
Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2
Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2
Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2
Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2
Verse 2
Baba unasema watu wangu walioitwa kwa jina languÂ
Watajinyenyekeza na kuombaÂ
na kutafuta Uso WanguÂ
na kuacha Njia zao mbayaÂ
nitasikia kutoka mbinguniÂ
na kuwasamehe dhambi zaoÂ
Bwana tusamehe dhambi za DuniaÂ
Bwana Uiponye inchi yangu tunaomba Bwana.
ChorusÂ
Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2Â
Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2Â
Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2
Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2
Verse 3
Haya magonjwa tunayo ona Mungu Wangu oohÂ
ni kama Vumbi mbele zako YatapitaÂ
ni kama Vumbi mbele zako Yatapita yataangamiaÂ
tunaimani na wewe tunaimani BwanaÂ
tunaimani na wewe utatenda Mungu WanguÂ
nina imani na weweÂ
nina imani BwanaÂ
nina imani na weweÂ
Utaniponya na kunikomboaÂ
ChorusÂ
Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2
Pasipo na njia unaitengeneza njia ×2
Bwana sikia Maombi yangu Utege sikio lako Uniponye ×2
Pasipo na njia unaitengeneza njia ×12Aiye simuachi YesuÂ
Aiye simuachi YesuÂ
Hata iweje simuachi YesuÂ
Hata iweje simuachi YesuÂ
Pamoja na Yesu (Pamoja na Yesu)
Pamoja na Yesu
Pamoja na Yesu
IyeeeeÂ
Yeye ni mfalme Bwana Yesu eehÂ
Yeye ni mfalme Bwana Yesu eeh
Anatawala kote, kote kote
Yesu (Yesu, Yesu, Yesu)
Anatawala kote Bwana (Yesu, Yesu, Yesu)
Eeeh Yahweh twakutuza tukisemaÂ
(Hakuna Mungu kama wewe)
Eeeh Yahweh twakutuza tukisemaÂ
(Hakuna Mungu kama wewe)
Iyee Hakuna kama wewe, Mungu kama weweÂ
Iyee Hakuna kama wewe, Mungu kama wewe
Eeeh Yahweh twakutuza tukisemaÂ
(Hakuna Mungu kama wewe)
Eeeh Yahweh twakutuza tukisemaÂ
(Hakuna Mungu kama wewe)