Chorus / Description :
Yahweh kwako niko salama
Yahweh milele sina Mungu mwingine
Yahweh kwako niko salama
Yahweh milele sina Mungu mwingine
Kwa neno lako Yesu mimi niko salama
Niko salama ee ee ee
Niko salama ee ee ee
Yahweh kwako niko salama
Yahweh milele sina Mungu mwingine
Majaribu ni mengi waokolee
Lakini kwake Yesu tuko salama
Lakini kwake Yesu tuko salama
Yamekuja hata vita ee ee ee
Yana mwisho wake ee ee ee
Yana mwisho wake ee ee ee
Yote ni mapito usikate tamaa
Kilio ni usiku asubuhi furaha yaja
Kilio ni usiku asubuhi furaha yaja
Yote ni mapito tu na tena yatapita tu
Yote ni mapito tu na tena yatapita tu
Nuru ya Bwana imekuangazia wewe
Nuru ya Bwana imekuangazia wewe
Tena Mungu anakuwazia mema
Anakuwazia mema tena anakuwazia mema
Ana mipango mema ju ya maisha yako
Anakuwazia mema Mungu mwenye nguvu
Anakuwazia mema Mungu mwenye nguvu
Yahweh kwako niko salama
Yahweh milele sina Mungu mwingine
Wateule msichoke na maombi ee ee
Tena msichoke na kufunga ee ee
Majaribu yakija tuyashinde
Majaribu yakija tuyashinde yote
Yesu mwenyewe alijaribiwa
Wewe ni nani usijaribiwe
(repeat)
Umetokea wapi usijaribiwe
Jipe nguvu, uvumilivu
Yote kwa Mungu tutashinda
Yawe magumu vipi tutashinda
Hata Yawe magumu vipi tutashinda
Aiee niko salama ee
Nikiwa na Yesu ee
Akiwa upande wangu Yesu
Aiyee niko salama, mashaka ya nini
Nikiwa na yesu ee A
Amenichagua niko salama eeh
Niko salama eeh
Nikiwa na Yesu eeh