Chorus / Description :
Ainuliwe Mungu wa Miungu
Wewe ni Jehovah shammah, nasema ainuliwe
Wewe ndiye mwanzo, tena mwisho
Wewe ndiye Alfa na Omega ainuliwe
Ainuliwe ainuliwe
ainuliwe Yesu
Ainuliwe Baba ainuliwe
ainuliwe Jehovah ainuliwe
Ainuliwe ainuliwe
ainuliwe Yesu
Mbinguni na duniani
Ainuliwe ainuliwe
ainuliwe Yesu
Ainuliwe Mungu wa Miungu
Wewe ni Jehovah shammah, nasema ainuliwe
Wewe ndiye mwanzo, tena mwisho
Wewe ndiye Alfa na Omega ainuliwe
Ainuliwe ainuliwe
ainuliwe Yesu
Hakuna kama yeye, Mungu aliyetupenda
Yeye ndiye Bwana, Bwana wa mabwana.
Bwana wa majeshi, nasema ainuliwe.
Ainuliwe ainuliwe
ainuliwe Yesu
Apewe sifa, Abarikiwe
Jehovah ainuliwe
Ainuliwe ainuliwe
ainuliwe Yesu