Dan Em - Hakuna wa kufanana na Yesu

Chorus / Description : Hakuna wakufanana na Yesu
hakuna wa kufanana naye
Pokea sifa, pokea sifa,
pokea sifa, Hakuna wa kufanana nawe
hakuna wa kufanana naye
Uinuliwe, uinuliwe
hakuna wa kufanana naye

Hakuna wa kufanana na Yesu Lyrics

Halleluyah Halleluyah
Hakuna wakufanana na Yesu
hakuna wa kufanana naye

Hakuna wa kufanana yesu
Hakuna wa kulinganishwa nawe
hakuna wa kufanana naye
Hakuna dunianani yote Baba
hakuna wa kufanana naye
Halleleya, halleluya, halleluyah
hakuna wa kufanana naye
Uinuliwe uiniliwe,
Uinuliwe,
hakuna wa kufanana naye
Alinifia msalabani
Hakuna wakufanana na naye
hakuna wa kufanana naye
Akazibeba dhambi zangu zote
akachukua masikitiko yangu
hakuna wa kufanana naye
Magonjwa yangu yote akajitwika
hakuna wa kufanana naye

Pokea sifa, pokea sifa,
pokea sifa, Hakuna wa kufanana nawe
hakuna wa kufanana naye
Uinuliwe, uinuliwe
hakuna wa kufanana naye

Juu Mbinguni hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana naye
Maishani mwangu hakuna kama wewe
Ooh Hakuna kama wewe
Hakuna wa kufanana nawe.

Wewe watosha wewe watosha
wewe watosha, Hakuna wa kufanana nawe

Hakuna wa kufanana na Yesu Video

  • Song: Hakuna wa kufanana na Yesu
  • Artist(s): Dan Em


Share: