Chorus / Description :
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Iye iyee iyee
Kwa uwezo wake mola nitafika
Uko pamoja nasi Yesu
Najua umetuita zaidi ya washindi
Tembea nawe
(Safarini) kwa uwezo wake mola (nitafika)
Safari ndefu yaanza kwa hatua moja
Wahenga (walisema), nikiokoka
Nachukua hatua ya kwanza
Ya safari ya mbinguni
Kuna changamoto, kuna panda shuka
Lakini kwa uwezo wake Yesu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Iye iyee iyee
Kwa uwezo wake mola nitafika
Neno linasema wewe kamwe hutaniacha
Utakaa nami kila hatua hatua eeh
Sitaogopa hata nipite uvulini mwa mauti
Watumeenda na kusema nami
Kunibeba Yesu nishike mkono
Kaa nami usiniache naomba
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Iye iyee iyee
Kwa uwezo wake mola nitafika
Najua nitafuka iye iyee iyee
Niseme nini Yesu hakuna kama wewe
Yule rafiki wa karibu
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Shida nyingi safarini
Ingawa safari ngumu nitafika
Iye iyee iyee
Kwa uwezo wake mola nitafika