Chorus / Description :
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen)
Haleluya (Amen Haleluya)
Skiza tune: Sms "Skiza 7380975" to 811
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen)
Haleluya (Amen Haleluya)
Hae hae imbia Yesu moyo wangu hee
Hae hae imbia Bwana moyo wangu hee
Kusanyiko la watakatifu
Leo kwa kila kitu tumwimbie na malaika
Kusanyiko la watakatifu
Leo kwa kila kitu shangilia Yesu
Shangilia Yesu milima wanyama mabonde
Vijana wazee watoto
Dunia na anga tumwimbie
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen)
Haleluya (Amen Haleluya)
Hae hae Yesu wangu unameremeta
Hae hae Yesu wangu wee unang'ara
Hae hae Yesu wangu unameremeta
Hae hae Yesu wangu wee unang'ara
Umenirembesha mimi
Umenipokea mimi
Umenibadilisha Yesu
Umenisamehe dhambi
Umeniokoa mauti
Kwako nimewasili majina yako kamili
Elohim Yahweh
Jehova mponyaji
Mshindi mwokozi
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen)
Haleluya (Amen Haleluya)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)
Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen)
Haleluya (Amen Haleluya)
Chezea Yesu
(Instrumental)
Ei Haleluya (Amen), Haleluya (Amen)
Haleluya (Amen Haleluya)
Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen)
Haleluya (Amen Haleluya)
Amen amen Haleluya
Amen amen Haleluya