Chorus / Description :
Nimeubeba msalaba wangu,
nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitua mizingo yangu kwako,
nakufwata wewe unayenipenda ×2
Bwana unatosha
Wanitoshaa... mungu wa agano
Wewe wanitosha ×2
@ Eunice Njeri - Unatosha
God of promises you are sufficient to me.
Nimeubeba msalaba wangu,
nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitua mizingo yangu kwako,
nakufwata wewe unayenipenda �2
Bwana unatosha
Wanitoshaa... mungu wa agano
Wewe wanitosha �2
Nasalimu amri yako eeeh baba
Sauti yako nimeisikia
Umenivuta bwana karibu na wewe
Karibu zaidi natamani niwe �2
Moyo wangu usawa sioni ovu
Wanitosheleza wanitosha...
Mwingine mie sina, wewe wanitosha
Wanitoshaaa wanitoshaa...
@ Eunice Njeri - Unatosha
God of promises you are sufficient for me.