Efraim Ezekiel - Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe

Chorus / Description : Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe
Mungu kama wewe, Mungu kama wewe
Baba (Baba aah), Baba (Baba aah)
Yesu (Yesu uuu), Yesu (Yesu uuu)
Baba (x8)
Yesu (x8)
Roho (x8)

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe Lyrics

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe (Mungu kama wewe)
Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe (Mungu kama wewe)
Mungu kama wewe, Mungu kama wewe
Baba (Baba aah), Baba (Baba aah)
Yesu (Yesu uuu), Yesu (Yesu uuu)
Baba (x8)
Yesu (x8)
Roho (x8)

Katika ya mataifa yote sijaona Mungu kama wewe

Katika ya masitu yote sijaona mtenda miujiza kama wewe

Hakuna kama wewe Mungu wa Eliya Ooh
Hakuna kama wewe Mungu wa Isaka Ooh
Mungu wa Danieli Hakuna kama wewe

Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe Video

  • Song: Katikati ya Miungu hakuna Mungu kama wewe
  • Artist(s): Efraim Ezekiel


Share: