Twaingia Malangoni Lyrics

Twaingia malangoni pako kwa kushukuru
Nyuani mwako kwa kusifu 
Twakushukuru Bwana 
Twahimidi jina lako Yesu 

Maana wee ni mwema 
Maana wee ni mwema 
Maana wee ni mwema 

Ni mwema(Ni mwema) 
Ni mwema(Ni mwema)Translation:
We enter your gates with thanksgiving
Your courts with praise
We thank you Lord
We praise your name Jesus

Because you are good
Because you are good
Because you are good

You are good (You are good)
You are good (You are good)

Twaingia Malangoni VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Twaingia Malangoni:

0 Comments/Reviews


Bible Verses for Twaingia Malangoni

Psalms 100 : 4

Enter into his gates with thanksgiving, And into his courts with praise: Give thanks unto him, and bless his name.