Hakuna Usiloweza

By Essence of Worship

Lyrics

Hakuna hakuna hakuna 

Hakuna usiloweza 


Hakuna hakuna hakuna 

Hakuna usiloweza 


Wewe ni Mungu wakuabudiwa 

Milele yote wewe ni kiongozi 

Uliwavusha wanaisraeli 

Bahari ya shamu kwa uwezi wako 


Maserafi makerubi wanasujudu mbele zako 

wanazivua taji zao mbele zako wakisema 

Niwewe wastahili heshima 

Lazima tuimbe tulisifu jina lako


Hakuna hakuna hakuna 

Hakuna usiloweza  


Hakuna hakuna hakuna 

Hakuna usiloweza  

...


Hakuna usiloweza Yesu

Hakuna usiloweza Yesu

Hakuna usiloweza Yesu

"Essence of Worship ft Christina Halai -Hakuna Usiloweza (Official video)"