Tunaleta Sifa

By Essence of Worship

Lyrics

Wewe ni Mungu 

Hakuna mwingine wa kuabudiwa 

Unastahili sifa zote 

Wewe ni Bwana aah 


Tunaleta sifa zetu kwako 

Maana wewe ndiwe Mungu mkuu 

Tunaleta sifa zetu kwako Bwana 


Tunaleta sifa zetu kwako 

Maana wewe ndiwe Mungu mkuu 

Tunaleta sifa zetu kwako Bwana 


Usifiwe Yahweh 

Usifiwe Yahweh 


Kazi yako ya msalaba 

Yanifanya kuwa salama 

Usifwe Yahweh 

Upendo wako wa milele 

Umenifanya niendelee 


Usifiwe Yahweh 

Usifiwe Yahweh 

Usifiwe Yahweh 

Usifiwe Yahweh 


Halleluyah Yahweh 

Halleluyah Yahweh 


"Essence of Worship - Tunaleta Sifa (Official Music Video)"