Chorus / Description :
Nani kama wewe
Nakuinua mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Skiza Tune: Dial *811*345#
Nani kama wewe
Nakuinua mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe nakupenda
Miguuni pako nakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba, nakupa Yesu
Nani Kama Wewe Full Lyrics - Eunice Njeri