Chorus / Description :
Sifa zitande, sifa zivume
Jina lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zote, sifa zote
Zitande zitande
Uhimidiwe Bwana Mungu wa Israeli
Milele hata milele
Tulishukuru jina lako takatifu
Tulifanyie sifa Jina lako ooh
Sifa zitande, sifa zivume
Jina lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, sifa zivume
Jina lake Yesu lisifiwe kote
Mwimbieni Bwana nyimbo za furaha
Tulitukuze jina lake tukufu
Lililo tukuka kuliko majina yote
Tangazeni matendo yake ya ajabu
Sifa yoo
Sifa zitande, sifa zivume
Jina lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, sifa zivume
Jina lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zote zitande
Baba Yetu Baba yee zikufikie
Sifa zote zitande
Baba Yetu Baba yee zikufikie
Twende, Inua inua inua inua Yesu
Cheza,
Sifa zote sifa zote
Zitande zitande
Sifa zote sifa zote
Zitande zitande