Chorus / Description :
Nani kama wewe
Nakuinua mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe nakupenda
Miguuni pako nakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba, nakupa Yesu
Nimekuja nikuinue, nimekuja nikupende
Miguuni pako, nakupenda
Enzini pako, nakuinamia bwana
Enzini pako, nainua mikono
Enzini pako, nakuabudu bwana
Enzini pako pokea utukufu
Baba hakuna mwingine tena
Mwenye enzi na utukufu
Kama wewe Shallom Baba
U Mungu wa wajane Baba
Mweza yote kwa mayatima
Nani mwingine kama wewe, nakupenda
Sina mwingine kando yako, ninakushukuru Baba
Nakwinamia wewe, unastahili
Nani kama wewe Bwana
Hakuna mwingine kama wewe Bwana
Mfariji kama wewe Bwana
Hakuna mwingine kama wewe Bwana
Duniani, mbinguni na chini Baba , hakuna
Mwingine kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwingine kama wewe Bwana
Amina, amina oh , ooh
Amina milele
Wewe ni Mungu tunasema
Amina milele
Jehova Shallom, Jehova Nissi
Amina Milele
Jehova Elshadai, Jehovah Adonai
Amina Milel