Chorus / Description :
Niongoze upendavyo
Nitembee juu ya maji
Nifinyange ni udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Mungu wangu Mungu wa neno
Mungu wangu Mungu wa agano
Una kweli wewe ni ngao
Hautafeli na usemalo ndilo
Niongoze upendavyo
Nitembee juu ya maji
Nifinyange ni udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Imani yangu roho wa Mungu
Waniita nimesikia
Nakusongea we wanisongea oh
Ninakutafuta wewe wanitosha
Niongoze nitembee juu ya maji
Nifinyange ni udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi
Nizamishe ndani yako
Nipungue uongezeke
Nizamishe ndani yako
Nipungue nisionekane
Niongoze upendavyo
Nitembee juu ya maji
Nifinyange ni udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi