Evelyn Wanjiru - Tunakuabudu Mwenye enzi

Chorus / Description : Tunakuabudu tunakuabudu tunakuabudu Mwenye enzi
Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu
mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba

Tunakuabudu Mwenye enzi Lyrics

Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi

Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu
Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu

Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi

Tunanyenyeke mbele zako nikisema wewe ni mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba

Tunakuabudu
tunakuabudu
tunakuabudu
Mwenye enzi

Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu
Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu
Mwana wa mungu simba wa yuda, umetawala uko apa

Oooh imbia yesu anayenipigania
Oooh imbia yesu anayenipigania
Oooh imbia yesu anayenipigania

Tunakuabudu Mwenye enzi Video

  • Song: Tunakuabudu Mwenye enzi
  • Artist(s): Evelyn Wanjiru


Share: