Fanuel Sedekia - Ni nani kama wewe

Chorus / Description : Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Mwenye nguvu kama wewe bwana, nani kama wewe,
Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Atupendaye kama wewe bwana, nani kama wewe,
Mwenye enzi kama wewe bwana, nani kama wewe,

Ni nani kama wewe Lyrics

Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

(solo) (all)
Mwenye nguvu kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Mwenye enzi kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,

Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Atupendaye kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Anaye tujali kama wewe, bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Mwenye enzi kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Mtakatifu kama wewe, nani kama wewe,
Mwenye enzi kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,

Who is their to be compared to you?
We know their is none, like you lord

Ni nani kama wewe Video

  • Song: Ni nani kama wewe
  • Artist(s): Fanuel Sedekia + Fanuel Sedekia

Share: