Chorus / Description :
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
I still believe in you
I see a better day ahead of me
I can see the light (I can see the light)
Nainuka, nimeona nuru imenijia
Naiona siku njema mbele yangu
I can see the light (I can see the light)
Am rising now, nuru imenijia
Ni kweli, kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
Na I still believe
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
I still believe in you
I I, I still believe
I still believe in you
I I, I still believe
I still believe, believe
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
Bado nakuamini
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
I still believe in you
This is my confidence
Nikiita waitika wasikia
I will be soar like a eagle
Sipotezi, natulia
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
I still believe in you
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
I still believe in you
I I, I still believe
Lord I still believe in you
I I, I still believe
Nafuta machozi nakutazama
Kuna mambo yameniumiza Kuna vitu sijaona Kuna majibu nasubiria I still believe in you Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria Lord
I still believe
{Instrumental & African Dance }
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
I still believe in you
Kuna mambo yameniumiza
Kuna vitu sijaona
Kuna majibu nasubiria
But I know, you gonna do it
I I, I still believe
Your promises are true, your promises are true
I I, I still believe
You gonna do it, you gonna do it