Chorus / Description :
Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele
Wewe ni nguzo yangu
Wewe kimbilio langu
Mwanga wangu Baba yangu
Nikikimbia nimkimbilie nani?
Nikilia nimlilie nani?
Nikianguka nani aniamshaye
Nikilala nani anilindaye
Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele
Nishikilie Niongoze
Mbali na waovu Baba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele
Gongo lako
Na fimbo lako
Lanifariji Baba eeh
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu
Nishikilie Niongoze
Mbali na waovuBaba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele
Nishikilie Niongoze
Mbali na waovuBaba eeeh
Nionyeshe njia zako
Nami nitazifuata Milele
@Kambua Nishikilie (Touch Me)