Kambua - Njoo

Chorus / Description : Njoo oh ooh anakuita tena tena
Njoo ooh ooh ooh anakuita tena tena tena
Tena tena, tena.

Njoo Lyrics

Nyimbo nyingi nimeimba 
lakini hamkusikia, nitaziimba tena. 
Kwa mtandao nimeandika 
Lakini hamkusoma, nitaandika tena. 
Kwa basi mmehubiriwa 
Kwa soko mmehubiriwa, mtatuona tena. 
Tuliambiwa ni kelele 
Tunakatiza sherehe, mtatuona tena aah.  

Ooo-ooh I won't get tired 
Till you catch the fire of the Holy ghost. 
Ooo-oo-oh I will not give up 
Till You know this Jesus become a disciple. 

Njoo oh ooh anakuita tena tena 
Njoo ooh ooh ooh anakuita tena tena tena 
Tena tena, tena.

Ni yeye alikubariki alafu ukamsahau, anakuita tena. 
Kitambo ulimpenda alafu ukapotea, anakuita tena. 
Ingawa uliteleza alafu ukaanguka, atakuinua tena. 
Ingawa ulisahau aliyekuinua, atakuinua tena. Ooo-ooh I won't get tired 
Till you catch the fire of the Holy ghost. 
Ooo-oo-oh I will not give up 
Till You know this Jesus become a disciple. 

Njoo oh ooh anakuita tena tena 
Njoo ooh ooh ooh anakuita tena tena tena 
Njoo ooh ooh Tena tena, tena.

Njoo Video

  • Song: Njoo
  • Artist(s): Kambua
  • Album: Njoo - Single
  • Release Date: 11 Aug 2014
Njoo Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: