Chorus / Description :
Tembea na Yesu
Tembea na Yesu
Haleluya
Ukiwa shuleni
Ukiwa kazini
Tembea na Yesu
Haleluya aah
Tembea na Yesu
Tembea na Yesu
Haleluya
Ukiwa shuleni
Ukiwa kazini
Tembea na Yesu
Haleluya aah
Ukiwa na raha
Ukiwa na shida
Tembea na Yesu
aah Haleluyah