Mercy Masika - Mwema - siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana

Chorus / Description : Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,

Mwema - siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana Lyrics

Ohh wooih mmh
Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani

Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,

Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka,
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha,
Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda,
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia,

Ilikugharimu, msalabani unifie,
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie,
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue,
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,
Acha niringe, umekuwa mwema kwangu,
Oh Yahweh, ooh kwangu,
Oh umenitendea, kwangu,

Acha niimbe siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Siwezi jizuia

@ Mercy Masika - Huyu Yesu

Mwema - siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana Video

  • Song: Mwema - siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana
  • Artist(s): Mercy Masika
  • Album: Mwema - EP
  • Release Date: 04 Mar 2018
Mwema Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: