Chorus / Description :
Emmy Kosgei & Evlyn Wanjiru
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Emmy Kosgei & Evlyn Wanjiru
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Usichukue Njia ya Mkato
Usipotoshwa na washauri wasio haki
Heri mti yule aftwataye sheria za Bwana
Atakuwa kama mti kando kando ya Maji
Huzaa Matunda kwa majira yake
Kila atendalo atafanikiwa eeh
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Umekuwa na maswali mengi mno
Unashangaa Mungu yuko wapi?
Umebishabisha Mungu yuko wapi?
Kufunga na Kuomba, Kukesha na kuomba upate majibu
Mungu sio mwandamu hadanganyi
Subiri kwa imani, Subiri oooh
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Afadhali kungoja, kungoja Bwana
Subiri, Subiri Bwana
Sorrow may last in the night
Joy comes in the morning
Subiri, Subiri Bwana
Wait on the lord
Be still and know
Subiri Subiri Bwana