Chorus / Description :
Vile ulivyo (simama)
Vile ulivyo (simama)
Mtukuze Mungu tu
Kwenye taabu zako (simama)
Kwenye mateso (simama)
Kwenye mapito yako (simama)
Mtukuze Mungu tu
Vile ulivyo (simama)
Vile ulivyo (simama)
Mtukuze Mungu tu
Kwenye taabu zako (simama)
Kwenye mateso (simama)
Kwenye mapito yako (simama)
Mtukuze Mungu tu
Mtukuze Yesu (simama)
Mtukuze Baba (simama)
Mtukuze Yesu (simama)
Mtukuze Mungu tu
Yahweh (simama)
Yahweh (simama)
Mtukuze Mungu tu