Chorus / Description :
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uweza wako wa ajabu umeshangaza wengi
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Umeumba dunia pasipo nguzo yeyote
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Ukamtoa mwanao afe kwa ajili yetu
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
(Hakuna kama wewe)
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Mimi ni nani nimefika hapa nilipo
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Umenitunza tangu utotoni tumboni toka kwa mama
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Sitaweza nisingiweza nisingeweza
Sitaweza nisingiweza nisingeweza
Ukamuumba mwanadamu kwa mfano wako Jehovah
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Umetupa vitu vyote tuvitawale duniani
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Umetujalia uzima hapa tulipo kwa neema yako
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Singelikuwa neema yako ningejificha wapi
Niwakimbie walimwengu oh uinuliwe
Yusufu aliuzwa na ndugu zake wakijua wanampoteza
Kumbe wanamuinua oh uinuliwe
Ndugu Zakayo aliwaza vile Mungu kawaza vingine
Mungu wa huruma
Waliweza kumpoteza ukaweza kumuinua
Mungu wa ajabu matendo yako Bwana yanashangaza wengi
Uinuliwe Baba oh Jehova
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe uinuliwe
Uinuliwe Bwana wa mabwana