Eunice Njeri - Najua mkombozi wangu Anaishi

Chorus / Description : Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,

Najua mkombozi wangu Anaishi Lyrics

Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Jua na mwezi zaisikia sauti yako,
Samaki baharini wakuiniua,
Ndege wa angani wanashangilia,
nami baba nakuabudu,

Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Yeye ndiye jemedali mkuu,
Yeshua, kuani mkuu,
Alpha Omega, mwanzo tena mwisho,
Hakuna aliye kama yeye,

Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Wanyonge wakukimbilia hata wagonjwa, wewe wa waponya,
Waliofungwa wewe wa wafungua,
Utukuzwe, wastahili,

Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Nie nijohe, nijohe, mwoonekia wakwa are moyo, are moyo,
Nie nijohe, nijohe, mwoonekia wakwa are moyo, are moyo,
Nie nijohe, nijohe, mwoonekia wakwa are moyo, are moyo,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,

Eunice Njeri- Najua

  • Song: Najua mkombozi wangu Anaishi
  • Artist(s): Eunice Njeri


Share: