Wastahili

By Paul Clement

Lyrics

Viti havifai tena, wanainama mbele zako 

Wanazivua taji zao, wanaziweka mbele zako 

Hizo ni heshima zao, wanazileta mbele zako 

Viti havifai tena wanainama mbele zako 

Wanazivua taji zao, wanaziweka mbele zako 

Hizo ni heshima zao, wanazileta mbele zako 

Wakisema 

Wastahili wastahili, wastahili Bwana 

Wastahili wastahili, wastahili Bwana

Mtakatifu mtakatifu 

Ndiwe Bwana wa majeshi 

Heavens and nations are filled with Your glory 

Na utukufu wako 

(repeat)

Wastahili wastahili, wastahili Bwana 

Wastahili wastahili, wastahili Bwana

Wewe ni Mungu, wewe ni mfalme, unatawala 

Wewe ni Mungu, wewe ni mfalme, unatawala 

Wewe ni Mungu, wewe ni mfalme, unatawala 

"Paul Clement ft Zoravo - Wastahili ( Official Music Video)"