Chorus / Description :
ft. Zaravo
Solo: Hizi ni kilele za nini?
All: Hizi ni kalele za nini
Solo: Mmepigana vita gani?
All: Amepigana Bwana sio sisi
Solo: Hizi ni kilele za nini?
All: Hizi ni kalele za nini
Solo: Mmepigana vita gani?
All: Amepigana Bwana sio sisi
Aiyee Aiyee Aiyee
Kelele za washindi
Aiyee Aiyee Aiyee
Bwana ametupigania
Aiyee Aiyee Aiyee
Ametupa kushinda
Solo: Mmepigana vita gani?
All: Amepigana Bwana sio sisi
Solo: Mmepigana vita gani?
All: Amepigana Bwana sio sisi
Bwana ametupigania (Bwana ametupigania)
Ametupa ushindi (ametupa kushinda)
Bwana ametupigania (Bwana ametupigania)
Ametupa ushindi (ametupa kushinda)
Bwana ametupambania (Bwana ametupambania)
Ametupa ushindi (ametupa kushinda)
Kelele za Ushindi
Paul Clement x Zaravo